Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

50 Cent alivyomtetea Kanye West kuhusu kudanganya anaumwa….

By  | 

Ata baada ya kutajwa mara kwa mara kuwa wana beef, rapa 50 Cent na Kanye West bado wana love kati yao.

Kwenye Interview hivi karibuni 50 Cent amekuwa upande wa Kanye West kuhusu tetesi kuwa “Kanye West alidanganya anaumwa ili alipwe na kampuni yake ya bima kiasi cha dola milioni 30“.

50 Cent anasema “Kanye angeweza tu kufanya kazi na kupata pesa hizo sio lazima adanganye watu anaumwa, tatizo lililompata Kanye ni la kweli kabisa na sio kwaajili ya kiki au pesa” 

50 Cent na Kanye waliwahi kuhusishwa kuwa na beef baada ya wote wawili kutoa album kwenye siku moja ili kushindana mauzo.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments