Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

50 Cent apata mchongo mkubwa kwenye filamu ya Gerard Butler “Den Of Thieves”.

By  | 

Siku chache baada ya 50 Cent kutoa maneno makali kuhusu show yake ya Power kukosa nafasi kwenye tuzo za Golden Globes, staa huyu amepata shavu la kuigiza kwenye filamu ya Gerard Butler iliyopewa jina Den Of Thieves.

50 Cent ataigiza kama mwizi wa benki na Butler ataigiza kama polisi mlaa rushwa.

Filamu ya Den Of Thieves inaanza kurekodiwa Atlanta, Georgia na inatarajiwa kutoka mwaka 2018,

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments