Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Hii video mpya ya Belle 9 Ft G-Nako ‘Give It To Me’ Enjoy…

By  | 

Rnb na pop staa kutoka Tanzania Belle 9 amekamilisha colabo yake na G Nako wa Weusi na sasa ni muda wa kuitazama video ya kazi hii.

Wimbo huu wa ‘Give It To me‘ umetoka chini ya lebo yake ya Vitamin Music Group Limited, Bonyeza play kuitazama video hii….

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments