Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Gari ya DJ Black Coffee yavunjwa na jambazi mwenye silaha…

By  | 

Dj maarufu Africa DJ Black Coffee amevamiwa na jamabzi mwenye silaha ya moto kwenye kituo cha mafuta cha Total kwenye eneo la William Nicol Drive ,Bryanston mjini Johannesburg, South Africa weekend hii…

DJ Black Coffee aka Nkosinathi Maphumulo, alitumia twitter kutoa taarifa hizi kuwa “Nimevamia na mtu mwenye silaha, akavunja dirisha langu na kutaka nimpe saa yangu ya mkononi”.

Tukio hili limetokea Jumamosi siku moja kabla ya kufunga ndoa na mpenzi wake Mbali Mlotshwa.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments