Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Wapenzi wa filamu kali, hii trailer ya Blade Runner 2049,yupo Ryan Gosling na Harrison Ford

By  | 

Studio za Warner Bros zimetoa trailer ya kwanza ya filamu ya“Blade Runner 2049,” iliyochezwa na Ryan Gosling pamoja na Harrison Ford.

Movie linaanza kwa maneno haya “Replicants are like any other machine — they are either a benefit or a hazard,” “If they are a benefit, it’s not my problem.
Mpaka sasa hawajataja filamu hii inatoka lini….

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments