Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Britney Spears bado mbichi, amuonyesha boy friend wake mpya…

By  | 

Pop staa Britney Spears na Sam Asghari ni mtu na mpenzi wake kwa mujibu wa TMZ.

Taarifa zinasema Britney Spears hana aibu ya kuonyesha boo wake mpya ata kama amemzidi umri.

Britney amekuwa akipambana na comments za kupondwa kwa mahusiano haya sababu Sam Asghari ni model wa video na hana wanasema hajafikia matawi ya kutoka na Britney.

britney-1 britney-3

britney-spears

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments