Rnb staa Chris Brown ameshinda kesi dhidi ya shabiki wa kike aliyevamia nyumba yake na kusema anampenda staa huyu na anataka kumpa tendo la ndoa.

Mwanamke huyu anayefahamika kama Danielle Patti amekamatwa mara ya kwanza nje ya nyumba ya Chris Brown December mwaka jana na  na mnamo April mwaka huu alifanya tendo lingine la uvamiaji kwenye nyumba ya Chris Brown na kukamatwa na polisi.

Mahakama imempa adhabu ya kuka mbali na Chris Brown kwa miaka mitano na kwa sasa dda huyu yupo kwenye hospitali ya wagonjwa wa Akili chini ya ulinzi mkali wa Madaktari.