Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Chris Brown atangaza kuwaimbia zaidi wanawake kwa sasa.

By  | 

Staa wa RnB #ChrisBrown ametumia kurasa yake ya Instagram kuwafahamisha mashabiki zake wa kike kuwa anarudi kuwaimbia wao sasa na wakae tayari kwa kazi zao mpya.
Chris anasema “Wanna start making more music for the ladies. Bring that real love music. Ain’t always about bitches and hoes. Want to touch your soul first!” Akimaanisha “Nataka kutengeneza muziki kwaajili ya wanawake, nirudishe mapenzi tena na sio mambo ya michepuko tu, nataka kugusu nyoyo zenu sasa

Chris Brown amekuwa ana toa rekodi kutoka kwenye mixtape zake tu na sasa ni muda wa album.

#StoriBy Melisa
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments