Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Clarence Peter asema video models sio makahaba, wanatengeneza pesa kuliko……

By  | 

Mtayarishaji wa video kutoka Nigeria Clarence Peter ametoa kauli kali kwa wanaosema video models ni makahaba tu.

Kwenye mahojiano hivi karibuni Clarence Peter amesema sio sawa kabisa kuwaongelea dada zetu wanaopamba kazi za mikono yetu kuwa ni makahaba,dada hawa wanafanya kazi kubwa kuwa na muonekano mzuri unaovutia ndio maana wanalipwe pesa nyingi.

Peter aliendelea kufafanua kuwa muonekano wa video models kwenye video tofauti ni kutokana na stori ya video hio, kucheza kwenye video sio kazi rahisi kabisa….

Clarence Peter alimalizia kwa kusema “Navyojua hawa models ni bora kuliko wafanya kazi wa benki,utakuta mtu benki analipwa laki saba kwa mwezi tu, sasa hawa models wanalipwa zaidi ya hio kwa kazi moja tu“.
Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments