Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Video na Picha, rapa Darassa na director Hanscana wanusurika kwenye ajali mbaya ya gari

By  | 

Rapa Darassa amepata ajali mbaya ya gari mchana wa 18 December 2016 akiwa na muongozaji wa video Hanscana na producer wake wawili ambao ni Mr VS na Abbah.

Ajali hii imetokea mastaa hawa wakitokea Kahama mkoani Shinyanga kwenda Kakola mkoani humo kwaajili ya show.

Hakuna aliyeumia vibaya kwenye ajali hii zaidi ya majeraha madogo tu.

Gari ya Hanscana namba T503 DGQ imeharibika vibaya kama unavyoona kwneye picha hizi

darasa-1 darasa-5

darasa-4

 

Hii post ya Darassa kuhusu mwendo waliokuwa wakitembea “Kwenye speed 60 free road lakini icho kilicho tokea miujiza lakini MUNGU ana miujiza yake pia Mimi na director wangu @hanscana_ producer @mrvs2016 @abbah_process Wote tuko Poa ???????? CAN I GET AMAN FOR THAT ???????????????????????????????? #muziki,

Hanscana naye aliandika ” Rod accident BUT WE GOOOOOOOD ???? “My self @darassacmg @abbah_process @mrvs2016 #MUZIKI God Made thank you,

Hii post ya Producer Abbah “MUNGU ni mkubwa sana ameamua kututoa salama Kabisa kwenye ajali hyo mmi na Team Yangu @darassacmg @hanscana_ @mrvs2016 na mmi mwenyewe MUNGU MKUBWA,

Mastaa tofauti wametoa pola kwa Darassa na Timu yake….

Diamond Platnumz>>>Poleni sana wanangu… Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda, kuwaongoza vyema na kuwapa afya zaidi, mzidi kupambana @hanscana_ @Darassacmg

Harmonize>>>Pole sana my brother @darassacmg & @hanscana_ Mungu ana miujiza yake tumshukuru kwa kila jambo…..???????? kwakuwa tupo wazima basi harakati ziendele…….!!!!

Izzo Bizness>>>Poleni sana ndugu zangu kwa hili hakika MUNGU ni mwema ???? @hanscana_ @darassacmg @abbah_process

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments