Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Wasanii nane wakubwa watakao shiriki kwenye album mpya ya Davido…

By  | 

Staa wa muziki kutoka Nigeria ‘Davido‘ ameongolea kwa mara ya kwanza ujio wa album yake mpya ba colabo zake.

Davido anasema hadhani kama alihitaji sana dili la Sony sababu alikuwa sawa tu alipokuwa kimuziki kabla ya dili hilo.

Davido pia amethibitisha kuwa album yake mpya imeanza kurekodiwa na tayari wimbo wa kwanza atakuwa na wasanii Rae Sremmurd & Young Thug, wasanii wengine kwneye album hii ni pamoja na Popcaan, Future, Trey Songz, Stromae, DJ Snake na Giggs.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments