Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Davido kavuta Brand New ‘Mercedes Benz ML 350’ ya mwaka 2017.

By  | 

Muimbaji kutoka Nigeria ambaye hivi karibuni alinunua Range Rover ya mwaka 2017 Davido sasa amevuta gari nyingine mpya ambayo ni ‘Mercedes Benz ML 350’ ya mwaka 2017 yenye thamani ya Naira za Nigeria milioni ₦90.

Davido pia ana miliki Brand New Range Rover yenye thamani ya Naira za Nigeria milioni N100.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments