Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Diamond Platnumz na Zari wabarikiwa kupata mtoto wa pili….

By  | 

Rais wa Wasafi na Bongo Fleva Super Star ‘Diamond Platnumz‘ na mpenzi wake Zari The Bosslady wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10 na dakika 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne ya December 6 2016.

Mtoto huyo wa pili wa Diamond na Zari amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini. Mpaka sasa mtoto huyu hajapewa jina…

Hizi ni post mbili za Diamond kuhusu mtoto wake wa kiume….

mtoto-1 mtoto-2

mtoto-3 mtoto-4

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments