Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,DJ Khaled katumia dola milioni 10 kununua hili jumba la kifahari….

By  | 

Producer na msanii maarufu DJ Khaled ametumia dola za kimarekani milioni 10 ambazo ni kama 21,940,000,000.00 za bongo  kununua jumba la kifahari kwenye eneo la matajiri huko Beverly Hills.

Khaled amenunua jumba hili kutoka kwa muimbaji wa Uingereza Robbie Williams kwa mujibu wa Variety.

Awali mmiliki wa jumba hilo aliomba dola milioni 11, Williams alimiliki jumba hilo toka mwaka 2002, alinunua jumba hilo kutoka kwa msanii wa Country Clint Black na mwigizaji Lisa Hartman kwa dola milioni $5.45 million.

Jumba hilo lina vyumba 7 vya kulala na mabafu 11, sehemu ya mazoezi na swimming pool.

 

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments