Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Muonekano wa DJ Mustard baada ya kupunguza kilo 45….

By  | 

Mapenzi ya nguo za thamani kubwa yamepelekea Producer DJ Mustard kupunguza zaidi ya kilo 45 ili kupendeza zaidi.

mustard

mustard-1
Kwenye interview yake mpya Dj Mustard amesema kilichompa moyo wa kupunguza kilo zaidi ni mapenzi ya ke kwa nguo za Brands z kistaa>>>”Mapenzi ya nguo za wabunifu wakubwa zimenifanya nipunguze kilo, napenda nguo za wabunifu na ni ngumu kupata zinazonitosha kwa mwili huu, ndio maana nikapunguza mwili wangu na hata mtoto wangu akikimbia ndani ya nyumba niweze kucheza naye“. 
Mustard anasema alitumia maji zaidi na kuacha kabisa kutumia sukari na chakula cha Wanga.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments