Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Donald Trump asema hana haja ya kuona mastaa kwenye sherehe za kuapishwa kwake.

By  | 

Baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Marekani Donald Trump amekuwa akipambana na kejeli za watu maarufu wasiomkubali kama rais wa nchi hio na hata kukata kwenda kuimba kwenye sherehe zake za kuapishwa.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Donald Trump hana mpango wa kushiriki sana kwenye mipango ya sherehe hizo ila amesema tu hataki sherehe kubwa sana.

Mtu mmoja kwenye kambi ya Donald Trump amesema Rais yuko na shughuli kubwa ya kuboresha biashara ili raia wa Marekani wapate kazi na sherehe sio jambo analoangalia kwa sasa.

Donald Trump anategemea kuapishwa January 20 2017.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments