Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Album ya Drake yauza kopi milioni nne ndani ya mwaka mmoja…

By  | 

Album ya rapa kutoka Canada ‘Drake‘ imefanikiwa kuuza kopi milioni nne ndani ya mwaka mmoja.

Wasimamizi wa rekodi za mauzo ya album za wasanii marekani RIAA imetangaza kuwa album ya Drake ‘VIEWS’ imeuza kopi milioni nne na kutangazwa kuwa 4x platinum.

Drake anatarajia kutoa album mpya kabla ya mwisho wa mwaka 2016 iliyopewa jina More Life project….

drake-12

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments