Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Rekodi mpya iliyowekwa na Drake kwenye muziki duniani.

By  | 

Rapa kutoka Canada ‘Drake’ ameweka rekodi kwa wimbo wake wa ‘One Dance’ kuwa wimbo wa kwanza kusikilizwa mara bilioni moja kwenye mtandao wa Spotify.

Wimbo wa “One Dance” kutoka kwenye album ya Views umesikilizwa mara bilioni moja kwenye mtandao wa Spotify, kwa mujibu wa Billboard.
Mpaka sasa album yake ya Views imenunuliwa na watu milioni 4 na Drake anaelekea kutoa album mpya miliyopewa jina ‘More Life’ mwaka 2017.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments