Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

News

Muuza Cocaine maarufu El Chapo hajatoroka,jela ya Mexico yatoa ushahidi wa hii picha.

By  | 

Serikali ya Mexico imeuwa tetesi kuwa muuza cocaine maarufu duniani El Chapo ametoroka tena jela. Ijumaa iliyopita palikuwa na taarifa za Drug Lord huyu kutoroka jela na kwamba amekimbilia Marekani. Taarifa zilitolewa na ABC News.

Jela aliyopo El Chapo huko Mexican imetoa picha hii ya Guzmán akiwa jela.

Joaquin “El Chapo” Guzman,Mwaka 2014 alitoroka na kukamatwa tena na hapa alikuwa akipelekwa kwenye helicopter kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mexico, ilikuwa Feb. 22, 2014. Huyu Jamaa anatajwa kuwa The World’s most-wanted drug boss.

Hapo chini ni picha akiwa jela kwa sasa.

screen shot 2016-07-09 at 9.43.16 am

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,SAMMISAGO.COM IPO INSTAGRAM>INSTAGRAM

Comments