Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Falz Dah Bhad Guy aitamani colabo ya Rihanna tu kwenye colabo zake za kimataifa.

By  | 

Rapa kutoka Nigeria ambaye tayari amefanya colabo na Joh Makini kutoka Tanzania ‘Falz Dah Bhad Guy‘ amesema colabo ya kimataifa anayoitamani zaidi ni colabo ya Robyn Rihanna Fenty Aka Rihanna.

Falz Dah Bhad Guy anasema muziki wa Rihanna unafanana sana na muziki wa Africa na anaimani watatengeneza rekodi nzuri sana.

Falz Dah Bhad Guy alisema “Napenda kufanya kazi na Rihanna, anakitu cha peke kinachoweza kupendwa na kueleweka kirahisi, tutatengeneza rekodi nzuri“.

Falz alikuwa Coke Studio hivi karibuni.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments