Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Camila Cabello ajitoa kwenye kundi la Fifth Harmony…

By  | 

Baada ya miaka minne muimbaji wa kundi la Fifth Harmony ‘Camila Cabello‘ amejitoa rasmi kutoka kwenye kundi hilo.

Wasanii waliobaki kwenye kundi hilo kwa sasa ni Ally Brooke, Normani Kordei, Dinah Jane, na Lauren Jauregui.

Wasanii wa kundi hili wametangaza kuwa wataendelea na kazi zao kama Fifth Harmony na kurekodi album yao mpya mwaka 2017.

Mpaka sasa Cabello hajasema lolote kuhusu kujitoa kwake kwenye kundi hilo.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments