Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

French Montana na The Weeknd wafanya video ya colabo yao wakiwa na Blac Chyna.

By  | 

Rapa French Montana na The Weeknd wamekamilisha kazi ya kufanya video ya colabo yao. Inasemekana colabo ya wasanii hawa itahusu mambo flani ya ndege na maisha ya kifahari.

Kwenye video hii anaonekana model maarufu ‘Blac Chyna’ ambaye kwa sasa ni mchumba na mama mtoto wa Rob Kardashia.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments