Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Future asema walivyokuwa hai 2 Pac na The Notorious B.I.G,hakuna mtu alimtaka Jay Z…

By  | 

Kwenye maongezi ya washkaji wa karibu kwenye saluni moja nchini Marekani, rapa Future ametoa mtazamo wake juu ya ukubwa wa album ya Jay Z ‘Reasonable Doubt’ na jinsi Jay Z alivyopata nafasi ya kung’ara kwenye hiphop duniani.

Future alikuwa kwenye saluni hii na mkongwe wa muziki Marekani Steve Stoute, watangazaji kama Ebro Darden, James Harden, LeBron James na Future ndipo alipotoa kauli yake kuhusu mafanikio ya Jay Z.

Future alithubutu kusema “Jay Z hakuwa msanii mkubwa wakati wa uhai wa Tupac na Biggie, na wakati Ice Cube anafanya muziki, ni baada ya kifo cha wasanii hawa wakubwa ndio akaonekana na album yake ya kwanza Reasonable Doubt kuwa kubwa, hakuna mtu aliyeitafuta album ya Jay Z mpaka baada ya kifo cha 2 Pac na B.I.G“.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments