Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Gucci Mane kwenye video mpya ya wimbo “St. Brick Intro,” enjoy…

By  | 

Kasi ya Gucci Mane ni noma, baada ya kutoka jela amekuwa akitoa album, mixtapes na video mpya kila wiki kama njia ya kutengeneza pesa na kurudisha jina lake juu zaidi.

Hii video yake mpya kwaajili ya X Mass “St. Brick Intro,” na wimbo huu upo kwenye album yake mpya ya The Return of East Atlanta Santa.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments