Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Gucci Mane na mchumba wake Keyshia Ka’Oir watangaza lini watafunga ndoa….

By  | 

Miezi miwili baada ya kutoka jela na kumwaga muziki mpya mtaani, Gucci Mane ameweza kupata nafasi ya kumvalisha mpenzi wake Keyshia Ka’oir pete ya uchumba na sasa wametangaza rasmi watafunga ndoa October 17, 2017.

Siku hio ni muhimu kwa Gucci, ambayo aliwahi kuimba kwenye 1017 Brick Squad na hata jina analotumia kwenye mtando wa twitter ni @Gucci1017.

Namba hii ni namba ya nyumba ya babu yake kama alivyowahi kuimba kwenye wimbo wake “Decapitated” kwenye album yake ya mwaka 2013 Diary of a Trap God.

Album mpya ya Gucci Mane inatoka December 16, imepewa jina The Return of East Atlanta Santa.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments