Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Baada ya kumdiss Jay Z sasa Gucci Mane amuomba colabo…

By  | 

Miaka kadha iliyopita rapa Gucci Mane alithubutu kumdiss rapa Jay Z kwenye wimbo wake wa “45” na “Classical.” na sasa anamuomba colabo staa huyu.

Gucci Mane amefunguka kuhusu kuitamani colabo ya Jay Z kwenye mahojiano na jarida la Complex.

Gucci amejitetea kwa kusema wakati anatoa diss za Jay Z alikuwa mtu wa kulewa sana na sasa amebadilika ndio maana hana tatizo za Jay Z.

Gucci Mane pia ametaja wasanii wa rapa amaowakubali zaidi kwa sasa ambao ni Young Thug, Young Dolph, Peewee Longway, Future, Drake na Project Pat.

Album anayoikubali zaidi ni album ya 50 Cent ‘Get Rich or Die Tryin’.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments