Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Kwenye album mpya ya J Cole,mpaka sasa kuna diss ya Kanye West, Drake na Lil Yachty…

By  | 

Kuelekea kutoka kwa album mpya ya J. Cole december 9 2016, tayari kwenye Documentary yake wametajwa wasanii waliokuwa dissed na rapa huyu kuwa ni Kanye West, Drake na  Lil Yachty.

Kwenye album hii J Cole amemuita Kanye West “False Prophets” akimaanisha “Nabii wa Uongo” na kuzungumzia msanii wa hiphop aliyewahi kumkubali mpaka aliposikia anaandikiwa mashairi ambaye ni Drake.

Album ya J Cole ‘4 Your Eyez Only‘ inatoka kupitia mtandao wa Jay Z ‘ TIDAL’

Kwenye mashairi ya diss kwa Drake, Cole anasema “Maybe it’s my fault for idolizing ni**as based off the words they be rapping / When come to find out these ni**as don’t even write their shit / Hear some new style bubbling up, then they bite that shit.

Album ya 4 Your Eyez Only, inatoka miaka miwili baada ya album yake ya mwaka 2014 2014 Forest Hills Drive,

j-cole-13 j-cole

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments