Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Justin Bieber arudia mtindo wa Never Say Never Kichwani….

By  | 

Justin Bieber arudia mtindo wake wa nywele uliopendwa zaidi na mashabiki wake mwaka 2010. Mtindo huu unafahamika kama ‘Never Sya Never’ ulitumika zaidi wakati JB anatoka kama Pop staa na kupendwa sana na mashabiki wa kike.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments