Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Orodha kamili ya Ya MTV ya ma MC wakali mwaka 2016, ‘MTV HOTTEST MC IN THE GAME’

By  | 

Kituo cha kimataifa cha MTV kimewataja wasanii kumi ambao ni Ma MC wakali kwa mwaka 2016. Majina makubwa kama Kanye West na Kendrick Lamar wapo.

Kwa mujibu wa mtangazaji wa Power 106, Charlamagne amesema vigezo vilivyo tumika kuwapa kuwa wasanii hawani Mistari mikali, biashara zao kubwa, Ukubwa wa muziki wao mtaani na kwa watu, mitindo yao, na uwepo wao kwenye mitandao ya kijamii…

MTV’S HOTTEST MCS IN THE GAME 2016
1. Kanye West
2. Drake
3. Chance the Rapper
4. Travis Scott
5. Future
6. Young Thug
7. YG
8. Kendrick Lamar
9. Lil Uzi Vert
10. 21 Savage

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments