Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Kelly Rowland akusanya yaliyomkuta baada ya kupata mtoto na kuweka yote kwenye hichi kitabu….

By  | 

Staa wa rnb Kelly Rowland uliyeanza kumfahamu kupitia kundi la Destiny’s Child, anatoa kitabu chake cha kwanza na kuandika yopte aliyopitia baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza.

Kitabu hichi kilichoitwa ‘Whoa, Baby!:’ kinatarajiwa kutoka mwezi wa tatu mwaka 2017.

Kitabu hichi ni muongoza kwa mwanamke aliyepta mtoto wake wa kwanza na kupata mshtuko wa jinsi maisha yake yalivyobadilika na hajui cha kufanya ‘Whoa, Baby!:’ >A Guide for New Moms Who Feel Overwhelmed and Freaked Out (And Wonder What the #*@& Just Happened) kimeandikwa na Kelly Rowland na msaada mkubwa wa daktari Tristan Emily Bickman.

Kelly anasema hakuna mtu alimwambia kitakacho mtokea kwenye mwiliwake, akili na hisia zake baada ya kupata mtoto na alibidi ajifunze mwenyewe ndio maana anaona ni sawa kuwapa wamama elimu hii mapema.

Kelly ’35’ ameandika kitabu hichi kutokana na maisha baada ya kupata mtoto wake wa kwanza ‘Titan Jewell’

k1

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments