Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,duka la DASH la familia ya Kardashian lavamiwa…..

By  | 

Duka la DASH linalomilikiwa na familia ya The Kardashian limevamiwa na kibaka wiki hii….

Polisi wanasema kuna mwanamke alivamia duka hilo jumatatu hii na kuiba nguo na manukato na baadae kuongoka na gari lenye rangi ya Silver.

Mwanamke huyo ameiba vitu vyenye thamani ya dola $1,600 kama milioni tatu na nusu za bongo.

Taarifa hii imekuja baada ya polisi mjini Paris kusema wamekamata watu 17 waliohusika ujambazi wa vitu vya Kim K alivyokuwa nchini Ufaransa mwezi wa kumi mwaka jana.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments