Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Lil Wayne atangaza rasmi nia ya kujiunga na lebo ya Jay Z….

By  | 

Sasa yale mahusiano kati ya rapa Lil Wayne na Birdman yamefika mwisho na muda wowote watatangaza rasmi kuwa ni maadui.

Jipya kuhusu Beef lao ni kwamba Lil Wayne amethubutu kusema kwenye show yake kuwa kwa sasa yupo na Jay Z ambaye ni hasimu mkubwa wa Birdman.

Wayne alisema “I’m a muthafuckin’ Roc-A-Fella millionaire” mstari ambao umetafsiriwa kama kauli kuwa kwa sasa yupo karibu zaidi na Jay Z.

Miaka ya Nyuma Jay Z aliwahi kutaka kumsaini Lil Wayne na kumpa dau la dola 175,000.

#StoriBy Melisa
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments