Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Aliyenunua album ya ‘Carter V’ kutoka kwa Walifu wa mitandao achimbwa mkwara kambi ya Lil Wayne.

By  | 

Vijana kutoka kwenye kambi ya Lil Wayne wamefanya mazungumzo ya uso kwa uso na bilionea Martin Shkreli kuhusu mpango wake wa kuvujisha album hio ya ‘Carter V’.

Kitendo hichi kimefanyika baada ya Shkreli kuthubutu kutoa baadhi ya nyimbo za Wayne siku chache kabla ya X Mass ya mwaka 2016.

Martin Shkreli ambaye alinunua album hio kutoka kwa walifu wa mitandao walio vamia na kupenya kwenye system za Cash Money amesema hato fanya jambo hilo tena na kutoa ahadi ya kutomsikilizisha mtu cd hizo mbili.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments