Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Kauli ya Mwisho ya Lil Wayne kuhusu ujio wa album ya Carter V.

By  | 

Ni mwaka 2017 na rapa Lil Wayne hana muda wa kupoteza kwa majibizano na Birdman. Rapa huyu wa Young Money ametoa kauli ya mwisho baada ya kusikia kuwa Birdman anasema beef yao imekwisha na kwamba album hio itatoka hivi karibuni.

Lil Wayne amesema “Birdman anabidi aache kujipa uhusika kwenye album hio sababu bila kulipa pesa nazo mdai siwezi kutoa album hio,Birdman anataka watu wajue tu ni mtu mzuri

Weezy anatakiwa kulipwa dola milioni 51 na lebo ya Cash Money kama malipo ya album zilizopita na Carter V. Mpaka sasa hatua moja tu imechukuliwa na Birdman katika kumaliza deni la Lil Wayne ambayo ni kuiomba Universal Music Group kujaribu kuangalia namna ya kumlipa Wayne ili kumfurahisha.
Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments