Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Lil Wayne kutumia kiki la Drake na Nicki Minaj kumrudisha…

By  | 

Kwenye Interview hivi karibuni rapa Lil Wayne amesema ana kazi nne kubwa za kutoa mwaka huu na kwamba amefanya colabo nyingi na Drake na Nicki Minaj.

Lil Wayne na Young Money CEO Mack Maine wamethibitisha ujio wa kazi nne ambazo ni Carter V, Dedication 6, & Funeral, na Velvet.

Wayne amekuwa akitoa mixtape tu kutokana na mikwaruzano yake na Birdman na sasa yupo tayari kuanza kutoa kazi chini ya lebo yake ya Young Money.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments