Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Fast & Furious imembadilisha Ludacris barabarani,hili ndio gari lake jipya….

By  | 

Rap Star Ludacris anazidi kupenda kasi na muonekano bora kwenye magari yake, hii imechangiwa zaidi na staa huyu wa filamu na muziki kuendelea kuwa muigizaji wa filamu ya The Fast and the Furious.

Ludacris amebadilisha gari lake kutoka kutumia Acura Legend ya mwaka 1993 mpaka kutumia Acura NSX Supercar ya mwaka 2017 yenye thamani ya dola $156,000 ambayo ni kama 341484000.00 za Tanzania. Gharama hii ni kabla ya kurekebishwa anavyotaka Ludacris.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments