Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Nyota ya Mariah Carey ya HollyWood Walk Of Fame yafanyiwa uharibifu….

By  | 

Baada ya kuharibu show yake kwenye usiku wa mwaka mpya, Pop staa Mariah Carey amepokea taarifa zingine mbaya baada ya mtu asiyejulikana kuchora ‘Alama ya kuuliza’ kwenye nyota yake ya Hollywood Walk of Fame.

Polisi wa Los Angeles hawajachukulia jambo hili kawaida, wameanza uchunguzi mkubwa na tayari kuna mikanda ya video inatazamwa kujua aliyefanya tendo hilo.

Fahamu kutoa nyota hio na kuirekebisha sio jambo dogo, gharama yake tu ni dola $1,500 ambayo ni kama milioni 3 kusafisha alama hio.

Mwaka jana James Otis alikamatwa kwa kuharibu nyota ya HollyWood Walk Of Fame ya Donald Trump.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments