Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Hii video mpya ya Matonya ‘Hakijaeleweka’ Gigy Money aigiza kama mpenzi wake….

By  | 

Matonya aka Seif Shaaban amefungua mwaka 2017 na wimbo mpya Hakijaeleweka, kwenye video hii Video Model na Mtangazaji wa radio #GigyMoney ameigiza kama mpenzi wake….

Video imefanywa na Tonee Blaze.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments