Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Meek Mill na Nicki Minaj wameachana, mwanamke aliyeingia kati yao,picha iko hapa…

By  | 

Taarifa zinasema Nicki Minaj na Meek Mill wameachana rasmi baada ya Meek Mill kumsaliti na mwanamke anayejulikana kama Sonye.

Jumalipi ya Dec. 18 mashabiki waligundua kuwa Meek na Nicki hawafatani tena kwenye mtandao wa instagram na jambo hili limechochea taarifa za kutengana kwao.

Meek Mill aliweka picha instagram iliyoambatana na ujumbe “$avage…just friends.” ila mpaka sasa haijajulikana mwanamke huyu ni nani…

Meek Mill na Nicki Minaj wamekuwa pamoja kwenye macho ya watu toka February 2015.

Bossip imeripoti kuwa Sonya ni mmiliki wa duka la nguo na amekuwa na Meek kwa zaidi ya mwka mmoja huku Meek akiwa na Nicki Minaj.

Pia Minaj na Meek Mill kwa sasa wanaishi nyumba tofauti huku kambi ya Nicki Minaj ikithibitisha kuwa hawako pamoja.

sonya-12

Hii ndio post ya Meek Mill iliyoleta Drama

nicki-minaj-12

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments