Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

News

Picha,Motorola ya mwaka 2004 inarudi ikiwa na mfumo wa android.

By  | 

Ile motorola ambayo wengi wetu tulitumia miaka hio ya 2004, ambayo pia iliuza simu milioni 130 duniani inarudi ikiwa na mfumo wa Android.

Motorola imetangaza rasmi kuirudisha Motorola Razr flip phone kwenye mfumo wa android handset na simu hii itatolewa chini ya kampuni ya Lenovo inayomiliki Motorola mnamo 9 June 2016.

Motorola hii ya kufungua iliuza zaidi ya simu milioni 50 kabla ya July 2006 na baadae kuuza milioni 130,mpaka sasa hii ndio simu ya mkononi iliyouza duniani.

Mwaka 2007,ilitoka Razr2 na ilikuwa na touch screen, October 2011, Motorola ilisimamisha toleo la Razr ilikutoa ‘Motorola RAZR’ ambayo ilikuwa Smartphone.

 moto 1 moto 2

Pata Stori Kirahisi Zaidi,FahamuTv.Com Ipo Instagram>INSTAGRAM

Comments