Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

News

Mtoto wa kiume wa Muhammad Ali aitelekeza familia yake baada ya kupokea urithi wa baba yao.

By  | 

Mtoto wa kiume Muhammad Ali ‘Muhammad Ali Jr’ amewakimbia watoto ma mama mtoto wake baada ya kupata mgawanyo wa pesa na mali za baba yao zenye thamani ya dola milioni $80.

Watoto tisa wa Ali walikutana California June 28 kumaliza mambo ya urithi, watoto wake wa kike saba, mtoto wa kiume Muhammad Ali Jr na mtoto mwingine wa kufikia wa kiume waligawana pesa hizo.

Baada ya kukamata mamilioni yake Muhammad Jr. alikusanya nguo zake na kuwakimbia watoto wake wawili na mke wake wanaoishi Chicago.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,SAMMISAGO.COM IPO INSTAGRAM>INSTAGRAM

Comments