Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Msanii Mwana FA afunga ndoa

By  | 

Rapa Mwana FA amefunga ndoa Jumapili hii ‘June 5 2016’ na mchumba wake Helga ambaye pia na mama wa mtoto wake.

Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu akiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine wachache.

Hizi picha nilizopata mpaka sasa.

Screenshot_20160605-233457 Screenshot_20160605-230927 Screenshot_20160605-220741 Screenshot_20160605-220646 Screenshot_20160605-220637 Screenshot_20160605-220452 Screenshot_20160605-220503 Screenshot_20160605-220509 Screenshot_20160605-220539 Screenshot_20160605-220616 Screenshot_20160605-220430 Screenshot_20160605-220419 Screenshot_20160605-220357

Pata Stori Kirahisi Zaidi,Sammisago.Com Ipo Instagram>INSTAGRAM

Comments