Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Mwana FA azungumzia ukubwa wa wimbo wa Darassa #Muziki

By  | 

Kwenye interview na @sammisago kwenye #FridaNiteLive rapa Mwana Fa amefunguka juu ya wimbo wake ‘Dume Suruali’ kupewa wakati mgumu na wimbo wa Darasa #Muziki.

Mwana FA amesema ” Kwanza I’m happy for rap music, Imekuwa muda mrefu hatujawahi kutengeneza nyimbo halafu zikatoka na nyimbo za waimbaji, halafu usisikie nyimbo za waimbaji na rap music ikawa vile,”

Mwana FA amesema anapenda kuona Darassa akiendelea kufanikiwa zaidi katika muziki sababu anaujua uwezo wa Darassa.

Wimbo ‘Muziki’ wa Darassa mpaka sas umetazamwa na watu 1,787,074 ndani ya wiki tatu tu kwenye mtandao wa Youtube.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments