Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Nicki Minaj kutambulisha Mobile Game yake wiki hii.

By  | 

Rapa Nicki Minaj anampango wa kutambulisha Mobile Game yake December 8 2016.

Game hii ya simu imetayarishwa na kampuni ya Glu Mobile na itapatikana kwa mashabiki wote wa Nicki Minaj mtandaoni wanaozidi milioni 100

Game hii imepewa jina la “Nicki Minaj: The Empire.” na itatoka kwenye siku ya kuzaliwa ya Nicki Minaj….

Kampuni ya Glu imefanya kazi na wasanii wakubwa kama Britney Spears, Jason Statham, Katy Perry na Kylie & Kendall Jenner na ndio waliotengeneza game kubwa na maarufu ya Kim K “Kim Kardashian: Hollywood”.

 minaj

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments