Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Ngoma mpya ya Nicki Minaj ‘Aint Gone Do It’, isikilize hapa…

By  | 

First Lady wa Young Money ‘Nicki Minaj’ ametoa ngoma mpya “Ain’t Gone Do It,” kutoka kwenye game yake mpya ya Simu “The Empire.”

Game hii ya “Nicki Minaj: The Empire,” itapatikana kwenye iOS na Android, Imetengenezwa na kampuni ya Glu Mobile ambayo pia imetengeneza game ya “Kim Kardashian: Hollywood”

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments