Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Stori,Kuhusu kuvunjika kwa mahusiano ya Nicki Minaj na Meek Mill,

By  | 

Baada ya kuwa na tetesi za kuachana kwa hiphop Couple ya Nicki Minaj na Meek Mill, Jan 5 2017 tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki Minaj kuhusu tetesi hizi.

Kupitia kurasa yake ya Twitter Minaj amethibitisha kuwa ni SINGLE GIRL kwa kuandika maneno haya
To confirm, yes I am single. Focusing on my work & looking forward to sharing it with you guys really soon, Have a blessed New Year.

Akimaanisha “Kuthibitisha,ni kweli niko single,juhudu zangu ni kwenye kazi sasa,hivi karibuni mtazisikia, muwe na mwaka uliobarikiwa“.

Nicki ’34’ na Meek Mill ’29’ wamekuwa kwenye mahusiano toka mwaka 2015.Mpaka sasa Meek hajasema lolote kuhusu kauli ya Nicki Minaj.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments