Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Imetajwa hapa sababu iliyopelekea Nicki Minaj na Meek Mill kuachana…

By  | 

Baada ya Nicki Minaj na Meek Mill kutangaza kuachana pamekuwa na stori tofauti kuhusu sababu ya kwanini penzi lao limekufa.

Taarifa kamili imetolewa kuhusu kuachana kwa wawili hawa kuwa ni “Kitendo cha Meek Mill kutumia muda mwingi na marafiki zake kuliko Nicki Minaj na Minaj alivyoa lalamika Meek Mill aliondoka kwenye visiwa vya Turks and Caicos bila Minaj“.

Drama hizi zilitokea December mwaka 2016 wakati Nicki Minaj anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 34.

Nicki Minaj kwa sasa yupo studio akifanya album yake mpya na yakwanza toka mwaka 2014 alipotoa The Pinkprint.
Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments