Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….

By  | 

Mwigizaji wa filamu Tanzania Salma Jabu Aka Nisha Baby ambaye hivi karibuni amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya taarifa za ujauzito wake kusambaa mitandaoni.

Nisha Ni mjamzito ila mpaka sasa hajataja baba wa mtoto wake ni nani ila alichoweza kusema ni kuwa ‘Hawako pamoja tena’ na ‘Mimba ilitokea baada ya kufanya ngono bila kupanga’.

Kwenye #FridayNiteLive na #Sammisago Nisha amekanusha kuwahi kuwa na mahusiano na wasanii Rich Mavoko, Ben Pol, Rayvanny na Nuh Mziwanda.

nuh-mziwanda

Nuh Mziwanda

rayvanny

Rayvanny

mavoko3

Rich Mavoko

ben-pol

Ben Pol

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments