Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Hii video mpya ya Omarion Ft C’zar ‘Okay Ok’ itazame hapa….

By  | 

Rnb staa Omarion anafunga mwaka na video ya wimbo wake mpya “Okay ok” Ft C’Zar. Video imefanyika kwenye jumba la kifahari huko Beverly Hills,

Wimbo ni kutoka kwenye album ya Omarion ya mwaka 2017 #Reasons,ikiwa ni ya kwanza toka mwaka 2014 alipotoa Sex Playlist.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments