Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

P Diddy kulipia milioni 40 mchoro mpya wa sura ya Notorious B.I.G.

By  | 

Mdau mkubwa wa hiphop P Diddy alikuwa mjini Miami wiki hii kwenye onyesha la Sana Art Basel na kuitamani picha ya Notorious B.I.G. iliyokuwa ikiuzwa kwa kiasi cha dola elfu 20 zakimarekani.

Mchoro huu uliofanywa na msanii kutoka mitaa ya Miami  Zeem Rock ulikuwa pembeni ya mchoro mwingine wa 2 Pac aliofanya yeye pia ila Diddy aliupenda zaidi wa Notorious B.I.G.

1201-diddy-biggie-painting-dmitry-prut-zeem-rock-4

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments